Subscribe

Don't miss any update with Africazine.

― Advertisement ―

spot_img

Gauteng’s ANC: Embracing Change and Renewal for a Thriving Future

"Discover the latest updates from the ANC in Gauteng as they brief the media on important developments. Stay informed with insights from Africazine."
HomeNewsTuzo za CAF, Yanga SC yawania Club bora ya Mwaka

Tuzo za CAF, Yanga SC yawania Club bora ya Mwaka

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo limetaja vipengele mbalimbali vya watakaowania tuzo za mwaka za CAF (CAF AWARDS) ambapo Club ya Yanga SC ndio Club pekee Afrika Mashariki ambayo inawania tuzo ya Club bora ya mwaka 2023 katika tuzo hizo za CAF zitakazotolewa December 11, 2023 Marrakesh Morocco.

Club nyingine zinazowania tuzo hiyo ni Al Ahly ya Misri, Mamelod na Marumo Gallants za Afrika Kusini, Wydad na Raja za Morocco, CR Belouzdad na USM Alger za Algeria, Asec Mimosa ya Ivory Coast na ES Tunis ya Tunisia.